NA Lilian Joel ( Uhuru)
SAKATA la
Mkurugenzi wa Kampuni ya Kitalii ya DAGT, Timoth Mroki, kujiua kwa
kujilipua kwa risasi, limeibua mambo mapya kutokana na kuelezwa kuwa
wivu wa kimapenzi.
Habari
zilizopatikana jijini Arusha, zinasema kuwa Mroki (36), alikuwa na vimada
wawili ambao ni wake za watu na kuwa kabla ya kujilipua kwa risasi na
kupoteza maisha, alitoa taarifa kwa
↧