Siku moja baada ya Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu ‘kueleza’
kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii Facebook kulivua taji hilo,
waandaaji wa mashindano hayo, Lino Agency International wamesema
hawajapokea barua rasmi kutoka kwa mrembo huyo ya kulivua taji hilo.
Juzi zilizagaa taarifa kuwa mrembo huyo amelivua
taji baada ya kuwapo ujumbe katika mtandao wa facebook ambao
↧