Rapa
Chidi Benz, jana alifikishwa katika mahakama ya Kisutu na kusomewa
mashtaka yake kutokana na kosa la kupatikana na Dawa za Kulevya aina ya
Heroine mwishoni mwa wiki iliyopita.
Kutokana na tukio hilo, Chidi amepatikana na makosa matatu ikiwepo kukutwa
na dawa hizo haramu, kusafirisha dawa na pia kukutwa na vifaa vya
kutayarisha uvutaji, utumiaji wa dawa hizo za kulevya.
↧