TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein
amewataka wananchi wa Zanzibar wasikubali kugawiwa kutokana na mchakato
wa Katiba unaoendelea
Akihutubia maelfu ya wana CCM na wananchi
wa Zanzibar katika Mkutano wa hadhara uliofanyika leo katika viwanja vya
Demokrasia
↧