Hit maker wa ‘Dear God’, Kala Jeremiah amepinga vikali kuwa amepotea
kwenye game toka alivyohit na wimbo wa ‘Dear God’, huku akidai kuwa huu
ndio mwaka ambao ameingiza pesa nyingi kuliko miaka mingine aliyokaa
kwenye muziki.
Kala amesema licha ya kutoonekana akifanya
show kwa wingi mwaka huu, lakini ameingia mikataba mingi na makampuni
mbalimbali.
“Mwaka huu ni mwaka mzuri kwangu
↧