Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa na Naibu Waziri wa
Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba wamewaomba viongozi
wa dini kuwasamehe viongozi wa Serikali waliokwaruzana nao wakati wa
mchakato wa Katiba na kuliombea Taifa lipate viongozi wenye hekima na
uwezo katika Uchaguzi Mkuu wa 2015.
Viongozi hao walisema hayo jana katika maadhimisho
ya miaka 50 ya Kanisa
↧