Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali inapenda
kuujulisha Umma kuwa Ukaguzi Maalum wa akaunti ya Tegeta Escrow ambao
unafahamika kama Ukaguzi wa IPTL unaendelea na unaongozwa na Hadidu za
Rejea (ToR) zilizotolewa na kisha kuridhiwa na Ofisi ya Bunge na Wizara ya Nishati na Madini.
Ukaguzi wa akaunti ya Tegeta Escrow uliombwa na Katibu wa Bunge na
Katibu Mkuu Wizara ya
↧