Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu), Stephen Wassira, amekitaka chama Cha Mapinduzi (CCM), kutokufanya makosa ya kusimamisha wagombea wasiokubalika katika uchaguzi wa serikali za mitaa.
Wassira alisema mwaka 2010 CCM ilifanya makosa katika baadhi ya maeneo kwa kusimamisha wagombea wasiokubalika, hatua ambayo ilisababisha chama kupoteza majimbo na kata ambazo zilichukuliwa
↧