Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kupitia Baraza lake
la vijana, kimetangaza kuzindua Bavicha Operesheni itakayohusisha
matumizi ya chopa kuzunguka katika mikoa ya kanda za Kati na Magharibi
kueneza ujumbe wa kuikataa Katiba Inayopendekezwa sambamba na kujipanga
kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Operesheni
hiyo itakayojumuisha mikoa ya Tabora, Kigoma na Katavi
↧