Katibu wa Hamasa na Chipukizi wa jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM, Paul
Makonda amekanusha taarifa ya kwamba amehusika kumpiga Waziri Mkuu wa
zamani Jaji Joseph warioba jana.
Amesema hawezi kumfanyia kitendo kama kile Jaji warioba kwani anamuheshimu kama mzazi wake.
Katika
vurugu hizo, Makonda anatuhumiwa kumpiga aliyekuwa Mwenyekiti wa
Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji
↧