Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Maendeleo ya Petrol nchini Tanzania
(TPDC) Michael Mwanda na Kaimu Mkurugenzi wa Shirika hilo James Andilile
wanashikiliwa na polisi kwa kushindwa kuwasilisha mikataba 26 ya TPDC
kama ilivyoagizwa na Kamati ya bunge.
Hatua
hiyo imekuja baada ya Shirika la Maendeleo ya Petrol nchini Tanzania
(TPDC) kushindwa kuwasilisha mikataba 26 kwa Kamati ya
↧