Habari kubwa iliyoenea kwenye mitandao
ambayo huenda hujabahatika kukutana nayo leo ni kuhusiana na fumanizi
lililofanywa na askari polisi katika gari ambapo watu wawili wamekutwa
wakifanya mapenzi mchana wa jua kali.
Mitandao ya Zimbabwe imeandika kuhusiana na mchungaji Novert Chivese kukutwa akifanya mapenzi na mke wa afisa wa polisi msituni.
Habari zinaarifu kuwa baada ya
↧