Quantcast
Channel: MPEKUZI
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live

148 kuchunguza ubadhirifu wa bil. 40/- ZILIZOTAFUNWA Jijini Mwanza

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU) imeanza uchunguzi wa tuhuma za ufisadi wa Sh bilioni 40, uliotajwa kufanyika katika Halmashauri ya Jiji la Mwanza.   Mkurugenzi wa TAKUKURU,...

View Article


Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho...

Ndugu Wananchi; Nakushukuru sana Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa Dodoma, Mheshimiwa Balozi Job Lusinde kwa kuandaa mkutano huu. Wakati nilipofanya ziara ya Mkoa wa Dodoma tulipanga tukutane lakini...

View Article


Wafariki ajalini wakisindikiza 'mzigo nyeti'

GARI lililokuwa likisindikiza fedha limepinduka  jana  likijaribu kumkwepa mwendesha pikipiki na kuua waliokuwemo na kujeruhi wengine. Kamanda wa polisi mkoa wa mwanza, Valentino Mlowola amethibitisha...

View Article

Taarifa ya Kova ya kuachiwa huru viongozi wa TPDC waliolazwa rumande na PAC

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TPDC, James Andilile (kulia) na Mwenyekiti wa Bodi ya TPDC, Michael Mwanda Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewaachia huru Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la...

View Article

Mtoto achanwa viwembe, vidonda vyawekwa chumvi

POLISI mkoani Morogoro wanamshikilia Tausi Omary (30), mkazi wa kata ya Chamwino, Manispaa ya Morogoro kwa tuhuma za kujeruhi mtoto wa dada yake, Jafari Mashaka (11) kwa kumchanachana mguuni kwa wembe...

View Article


Madaktari wanaotoa mimba kinyume na taratibu kukiona

SERIKALI imesema itaendelea kuwachukulia hatua kali za kisheria na za kinidhamu madaktari wote watakaogundulika kujihusisha na utoaji wa mimba kinyume na utaratibu.   Kauli hiyo ilitolewa bungeni jana...

View Article

Mke Akatwa Mapanga baada ya kugoma kufanya mapenzi na mumewe.....RPC Kigoma...

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma, Jafari Mohamed amewasihi wanawake walioolewa kuwajibika katika masuala ya unyumba kama maandiko ya dini yanavyoelekeza.   Kamanda huyo alitoa wito huo baada ya...

View Article

Bunge Lisitishwe, Posho za wabunge zitumike kulipa DENI la Bohari Kuu ya Dawa...

KUTOKANA na Bohari Kuu ya Dawa (MSD) kuidai Serikali zaidi ya Sh bilioni 90 za dawa hatua inayozifanya hospitali nyingi nchini kukosa huduma hiyo na kuleta madhara kwa wagonjwa, Mbunge wa Kisesa,...

View Article


UKAWA waeleza utaratibu wa kupata wagombea wao.... Wasaini muongozo wa...

Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), umesaini muongozo wa ushirikiano katika uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji; makubaliano ambayo yatatumika kwenye uchaguzi huo uliopangwa kufanyika...

View Article


Mtazamo wa Mstaa wa Kike Tanzania kuhusu matumizi ya NYETI Bandia

Mastaa wa kike wa fani mbalimbali nchini, wamezungumzia matumizi ya nyeti bandia, baadhi wakizipongeza kuwa zinawasaidia kuondokana na ‘stress’ za wanaume huku wengine wakiziponda kuwa hazina ‘ladha’....

View Article

Hali ya Vengu wa Orijino Komedi Yaanza kuimarika....Kumbukumbu zaanza...

Msanii staa wa Kundi la Orijino Komedi ‘OK’, Joseph Shamba ’Vengu’ ameanza kurejea katika ‘fomu’ baada ya kuugua kwa muda mrefu.   Kwa mujibu wa ndugu wa karibu wa msanii huyo , Vengu ambaye kwa muda...

View Article

Rais Kikwete Apiga Marufuku Kampeni ya Katiba Mpya ..... Asifu kazi ya jaji...

WAKATI makundi kadhaa yakianza kufanya mikutano na kuendesha midahalo kuhusiana na Katiba Inayopendekezwa, Rais Jakaya Kikwete amesema muda wa kufanya kampeni na kuuelimisha umma juu ya katiba hiyo...

View Article

Matokeo ya Darasa la Saba 2014.....Bofya Hapa

ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA KIGOMA KILIMANJARO LINDI MARA MBEYA MOROGORO MTWARA MWANZA PWANI RUKWA RUVUMA SHINYANGA SINGIDA TABORA TANGA MANYARA GEITA KATAVI NJOMBE SIMIYU...

View Article


Gari Lapinduka Wakati Dereva Akiwakimbika Askari Polisi

Baadhi ya wakazi wa mji wa Moshi wakiangalia kwa mshangao gari aina ya Toyota Spacio lenye namba za usajili T111 BHW likiwa limepinduka chini juu mbele ya ofisi za TFA barabara ya Boma, Moshi jirani...

View Article

Rais Kikwete Ateua Wakuu wa Mikoa Wapya Wanne

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amefanya uteuzi wa wakuu wapya wanne wa Mikoa, amewahamisha wengine sita na ameamua kuwa wengine watatu watapangiwa kazi...

View Article


Rais Kikwete Ateua Makatibu Wakuu Wapya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amefanya uteuzi wa Makatibu Wakuu wa Wizara kwa kuteua Makatibu Wakuu wanne wapya na kuhamisha mmoja.   Aidha, Rais Kikwete...

View Article

Picha za Uchi: Waziri Aagiza Desire Lusinda Ahojiwe

Waziri wa nchi anayehusika na Maadili nchini Uganda, Simon Lokodo amelitaka jeshi la polisi kumhoji mwanamuziki Desire Luzinda kutokana na picha zake za utupu zinazodaiwa kupigwa na rafiki yake wa...

View Article


Tetesi za Kisiwa cha Pemba kuwa sehemu ya Kenya, Serikali ya Tanzania yatoa...

Kufuatia kuripotiwa kwa taarifa katika vyombo mbalimbali vya habari kuhusiana na mgogoro wa mpaka uliokuwepo kutokana na madai kuwa kisiwa cha Pemba ni sehemu ya Kenya, Serikali ya Tanzania imetoa...

View Article

IGP Mangu afanya mabadiliko ndani ya Jeshi la Polisi

Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) Ernest Mangu amefanya mabadiliko ya baadhi ya makamanda wa mikoa, wakuu wa upelelezi wa mikoa, wakuu wa usalama barabarani wa mikoa pamoja na watendaji wengine wa...

View Article

Taarifa ya TCRA kwa wamiliki wa blogu Tanzania

TAARIFA KWA UMMA MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA INAPENDA KUWATANGAZIA WAMILIKI WOTE WA MITANDAO YA KIJAMII “BLOGERS” KUWA KUTAKUWA NA MKUTANO TAREHE 11.11.2014 KUANZIA SAA TATU ASUBUHI UKUMBI WA...

View Article
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>