POLISI mkoani Morogoro wanamshikilia Tausi Omary (30), mkazi wa kata ya Chamwino, Manispaa ya Morogoro kwa tuhuma za kujeruhi mtoto wa dada yake, Jafari Mashaka (11) kwa kumchanachana mguuni kwa wembe na kisha kuweka chumvi kwenye vidonda, kwa madai ya kumwimbia fedha kiasi cha Sh 4,500.
Mashaka, mwanafunzi wa Memkwa wa darasa la tatu katika shule ya msingi Kiwanja cha Ndege, alikutwa na
↧