Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TPDC, James Andilile (kulia) na Mwenyekiti wa Bodi ya TPDC, Michael Mwanda
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewaachia huru
Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (Tanzania
Petroleum Development Corporation – TPDC) Mh. MICHAEL PETRO MWANDA na
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa shirika hilo JAMES ANDILILE kusubiri ufafanuzi
wa
↧