GARI lililokuwa likisindikiza fedha limepinduka jana likijaribu
kumkwepa mwendesha pikipiki na kuua waliokuwemo na kujeruhi wengine.
Kamanda wa polisi mkoa wa mwanza, Valentino Mlowola amethibitisha kuwepo kwa ajali hiyo.
Amesema ajali hiyo imetokea jana majira ya saa 7.40 katika eneo la Mkuyuni, jijini Mwanza ambapo ilihusisha gari la Benki Kuu (BOT) lenye usajili namba SU 35296
↧