Ndugu Wananchi;
Nakushukuru sana Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa Dodoma, Mheshimiwa
Balozi Job Lusinde kwa kuandaa mkutano huu. Wakati nilipofanya ziara ya
Mkoa wa Dodoma tulipanga tukutane lakini kwa vile ratiba yangu
iliingiliwa na mambo mengi, hivyo haikuwezekana, lakini leo imewezekana.
Pengine hii ndiyo siku ambayo Mwenyezi Mungu alipanga tukutane.
Tumshukuru Muumba wetu
↧