Waziri wa nchi anayehusika na Maadili nchini Uganda, Simon Lokodo
amelitaka jeshi la polisi kumhoji mwanamuziki Desire Luzinda kutokana na
picha zake za utupu zinazodaiwa kupigwa na rafiki yake wa kiume ambaye
ni MNigeria.
Akiongea
na gazeti moja la nchini humo waziri Lukodo amesema tayari ameliagiza
jeshi la polisi kuwakamata wahusika na kwa sasa jeshi hilo lipo mbioni
kumkamata
↧