Kufuatia kuripotiwa kwa taarifa katika vyombo mbalimbali vya habari
kuhusiana na mgogoro wa mpaka uliokuwepo kutokana na madai kuwa kisiwa
cha Pemba ni sehemu ya Kenya, Serikali ya Tanzania imetoa taarifa rasmi
kuhusiana na mgogoro huo.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Kimataifa Benard Membe, amewatoa hofu Wananchi kuwa Pemba ni sehemu ya
Tanzania na hakuna ukweli wowote
↧