Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) Ernest Mangu amefanya mabadiliko ya
baadhi ya makamanda wa mikoa, wakuu wa upelelezi wa mikoa, wakuu wa
usalama barabarani wa mikoa pamoja na watendaji wengine wa vikosi na
vitengo mbalimbali ndani ya Jeshi la Polisi.
Miongoni mwa makamanda wa mikoa waliofanyiwa mabadiliko ni pamoja na
aliyekuwa kamanda wa Mkoa wa Ruvuma Kamishna msaidizi mwandamizi
↧