TAARIFA KWA UMMA
MAMLAKA YA MAWASILIANO
TANZANIA INAPENDA KUWATANGAZIA WAMILIKI WOTE WA MITANDAO YA KIJAMII
“BLOGERS” KUWA KUTAKUWA NA MKUTANO TAREHE 11.11.2014 KUANZIA SAA TATU
ASUBUHI UKUMBI WA MLIMANI CITY JIJINI DAR ES SALAAM.
MKUTANO HUO UTAJADILI MATUMIZI YA BLOGS KIPINDI CHA UCHAGUZI WA
SERIKALI ZA MITAA WABUNGE NA RAIS KAMA ILIVYOAINISWA KWENYE RASIMU YA
MWONGOZO WA MAUDHUI
↧