Ripoti ya ufisadi katika akaunti ya Escrow itawasilishwa bungeni
Novemba 27, mwaka huu na kujadiliwa baada ya Kamati ya Uongozi ya Bunge
kuridhia kwamba Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) inaweza
kushughulikia suala hilo.
Taarifa zinaeleza kuwa hatua
hiyo imefikiwa baada ya baadhi ya wenyeviti wa kamati za Bunge ambao ni
wajumbe wa Kamati ya Uongozi kutaka suala hilo lijadiliwe
↧