Watu wasiofahamika wamemuua kwa kumkata mapanga na kisha
kumnyofoa sehemu zake za siri mkazi wa Kijiji cha Kanegele, wilayani Mbogwe, Mkoa wa Geita, Hollo Machibula (54).
Akizungumza
kijijini hapo juzi, Diwani wa Kata ya Bukandwe, Henry Alphonce alisema
Hollo alivamiwa na watu hao nyumbani kwake juzi saa 5:00 usiku akiwa
amelala na kuanza kumkatakata kwa mapanga.
Alphonce
↧