Sakata la IPTL kutinga bungeni Novemba 27
Ripoti ya ufisadi katika akaunti ya Escrow itawasilishwa bungeni Novemba 27, mwaka huu na kujadiliwa baada ya Kamati ya Uongozi ya Bunge kuridhia kwamba Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) inaweza...
View ArticleMwanamke Achinjwa na Kunyofolewa sehemu zake za siri
Watu wasiofahamika wamemuua kwa kumkata mapanga na kisha kumnyofoa sehemu zake za siri mkazi wa Kijiji cha Kanegele, wilayani Mbogwe, Mkoa wa Geita, Hollo Machibula (54). Akizungumza kijijini hapo...
View ArticleOperesheni ya LAZIMA kukagua magari yaja
Jeshi la Polisi kupitia Kikosi cha Usalama Bararani, linatarajia kuanzisha operesheni ya lazima ya kukagua magari ili kukabiliana na ajali za mara kwa mara. Hayo yalisemwa na Kamanda wa Polisi Kikosi...
View ArticleRais Kikwete Awaapisha Makatibu Wakuu, Mabalozi,Wakuu wa Mikoa na Makatibu...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe Samwel William Shellukindo kuwa Balozi na Msaidi wa Rais Masuala ya Diplomasia leo Ikulu jijini Dar es salaam Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe John...
View ArticleBasi Lagonga Treni Ifakara...13 Wafariki papo hapo
Watu kumi na watatu wamefariki katika ajali iliyotokea huko Kibereke, Ifakara mkoani Morogoro, kati ya basi la abiria la Al Jabir lenye namba za usajili T725 ATD lililokuwa likitoka Dar es Salaam...
View ArticleHamisa Mobeto: Sina Mpango wa Kuolewa, Bado nakula Ujana
Mrembo ambaye sasa amejiingiza kwenye filamu, Hamisa Hassan ‘Mabeto’ amesema kwa sasa hafikirii suala la kuolewa kwani bado anakula ujana. Akizungumza na mwandishi wetu, Mabeto alisema bado anajiona...
View ArticlePenny Afunguka baada ya Diamond Kupigwa chini na Wema Sepetu
Mtangazaji aliyewahi kujiachia kimahaba na Nasibu Abdul ‘Diamond’, Penniel Mungilwa ‘Penny’ amesema mwanamuziki huyo kwa sasa alie tu kwani ameshachumbiwa na hawezi kumpata tena. Kauli ya mwanadada...
View ArticleVyama Vingine 6 vya Siasa Vyaungana Kupambana na UKAWA na CCM
Vyama vya siasa ambavyo havina uwakilishi katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania vimetangaza kusimamisha mgombea mmoja katika uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajia kufanyika mwezi ujao....
View ArticleIkulu: Rais Kikwete hajazuia kampeni ya Katiba Mpya .....Sheria ndo inayozuia...
Ikulu imesema kuwa Rais Jakaya Kikwete hajazuia kufanyika kwa kampeni kuhusu Kura ya Maoni isipokuwa Sheria ya Kura ya Maoni ndiyo inayozuia kufanyika kwa kampeni hizo kwa sasa. Mkurugenzi wa...
View ArticleMwanamke Amuua Mumewe Kwa Kummwagia Maji ya Moto na Kisha Kuutupa Mwili Mtoni
Mwanamke mmoja mkazi wa Kijiji cha Mfinzi wilayani Nkasi-Sumbawanga anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kummwagia maji ya moto mumewe na kumsababishia kifo, kisha kuutumbukiza mwili wake mtoni....
View ArticleWhatsapp yawakaba koo “Waongo”.....Kama unatumia WhatsApp, hii Taarifa...
Kuanzia sasa longo longo ya kwamba sikuupata ujumbe wako wa WhatsApp itakuwa historia, au kudai kuwa ujumbe haujafika utakuwa unaongopa mchana kweupe. 1.Huduma hiyo inapatikana kupitia Whatsapp katika...
View ArticleZiara ya Rais wa China kizaazaa Dar....Ripoti Yadai Maofisa wake Waliitumia...
Ziara ya Rais Xi Jinping wa China aliyoifanya nchini Machi mwaka jana, imezua kizaazaa na kuitia doa sifa ya Tanzania kimataifa, baada ya maofisa waliokuwa wameambatana naye kuhusishwa na biashara...
View ArticleMwanafunzi wa Darasa la tano Afariki Dunia baada ya kuchapwa Viboko Vingi na...
Mwanafunzi wa darasa la tano katika Shule ya msingi ya Kiuu Kenya amefariki dunia baada ya kupigwa na mwalimu wake kwa kufeli somo lake la Kiswahili. Familia ya mtoto huyo Joseph Waburi mwenye umri...
View ArticleBUNDI Atua ndani ya Ofisi za CHADEMA Mkoani Singida..... Viongozi waanza...
WAKATI siku zikishika kasi kuelekea uchaguzi mkuu mwakani,’Bundi’ ametua ndani ya CHADEMA mkoa wa Singida na hali imechafuka kwa viongizi wake kuanza kuvuana uanachama na kufukuzana uongozi. Baraza...
View ArticleAnayoyafanya Jaji Warioba hata Mwalimu Nyerere Aliyafanya pia!
WAVURUMISHAO makombora dhidi ya Jaji Joseph Warioba wamekuwa wakitoa hoja kwamba mzee huyo muda wake wakuzungumzia suala la katiba mpya ulishamalizika kwa minajili kuwa Tume yake ya kukusanya maoni ya...
View ArticleWaziri Chiza na Mbunge Kangi Lugola Waitana MIZIGO Bungeni
Sakata la kuitwa Waziri ‘mzigo’ kwa Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Christopher Chiza, limechukua sura mpya baada ya waziri huyo naye kujibu mapigo kuwa hata Mbunge wa Mwibara, Kangi Lugola...
View ArticleWaziri Membe Akanusha Kuhusu Ndege ya Rais Wa China Kubeba Pembe za...
Iliyopachikwa hapo chini ni nukuu ya kauli ya Waziri kuhusiana na habari iliyochapishwa na vyombo mbalimbali vya habari vya Kitaifa na Kimataifa baada ya utafiti uliofanywa na shirika moja kusema kuwa...
View ArticlePicha za Uchi: Desire Luzinda Aomba Radhi
Kufuatia kusambaa kwa picha za utupu za msanii wa muziki Desire Luzinda kutoka nchini Uganda, msanii huyu amechukua hatua ya kuomba msamaha kwa tukio hili la aibu kwake. Desire katika waraka mfupi...
View ArticleMiss Tanzania 2014 , Sitti Abbas Mtemvu ajivua taji .....Lilian Kamazima...
Sitti Abas Mtemvu amelivua taji hilo baada ya kuiandikia barua Kamati ya Miss Tanzania, November 5 mwaka huu, kuhusiana na uamuzi wake huo. Mrembo huyo alikuwa akikabiliwa na shutuma za kudanganya...
View ArticleACT-Tanzania wakana kujiunga na UKAWA
CHAMA cha Alliance for Change and Transparency (ACT-Tanzania) kimesema kinaingia katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa bila kuungana na chama chochote cha siasa kwa sababu wanaamini itikadi za vyama...
View Article