Mtangazaji aliyewahi
kujiachia kimahaba na Nasibu Abdul ‘Diamond’, Penniel Mungilwa ‘Penny’
amesema mwanamuziki huyo kwa sasa alie tu kwani ameshachumbiwa na hawezi
kumpata tena.
Kauli ya mwanadada huyo ilikuja baada ya kuulizwa kama anaafikiana na
kauli ya mama wa Wema Sepetu, Miriam Sepetu kwamba, kwa kuwa Wema
kamuacha Diomond basi staa huyo wa Wimbo wa Mdogomdogo bora akampose
↧