Mrembo ambaye sasa amejiingiza kwenye filamu, Hamisa Hassan ‘Mabeto’
amesema kwa sasa hafikirii suala la kuolewa kwani bado anakula ujana.
Akizungumza na mwandishi wetu, Mabeto alisema bado anajiona mtoto hivyo kuliko kukimbilia maisha ya ndoa bora ale kwanza ujana.
“Suala la kuolewa hapa kwangu hata silifikirii kabisa, mimi bado
binti mdogo sana nitawezaje kukimbilia ndoa, hiyo
↧