Watu kumi na watatu wamefariki katika ajali iliyotokea huko Kibereke,
Ifakara mkoani Morogoro, kati ya basi la abiria la Al Jabir lenye namba
za usajili T725 ATD lililokuwa likitoka Dar es Salaam kuelekea Ifakara
na treni ya abiria iliyokuwa ikitoka Mbeya kuelekea Dar es Salaam.
Mkuu wa Wilaya ya Kilombero akizungumza na TBC kwa njia ya simu, Hassan Masala amesema:
"Chanzo cha ajali
↧