CHAMA cha Alliance for Change and Transparency (ACT-Tanzania) kimesema kinaingia katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa bila kuungana na chama chochote cha siasa kwa sababu wanaamini itikadi za vyama hivyo haiendani na itikadi yao.
Akizungumza na waandishi wa habari jana, Ofisa Mawasiliano na Uenezi Taifa, Karama Kaila alisema ACT haijaungana katika muunganiko wowote na vyama vingine kama
↧