Diamond Platnumz na mfanyabiashara mrembo na muimbaji wa Uganda, Zari
the Boss Lady hawakuishia kusafiri tu kwenye ndege na siti moja kutoka
Afrika Kusini. Ukweli ni kuwa walikuwa wamepanga kukutana.
Picha za wawili hao wakiwa nje ya hoteli ya Double Tree jijini Dar
zinawaonesha wakifurahia muda wa faragha pamoja kama wapenzi vile.
Maswali yanayozunguka kwenye vichwa vya wengi ni
↧