Quantcast
Channel: MPEKUZI
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live

Picha: Diamond na Zari the Boss Lady wafanya kweli!

Diamond Platnumz na mfanyabiashara mrembo na muimbaji wa Uganda, Zari the Boss Lady hawakuishia kusafiri tu kwenye ndege na siti moja kutoka Afrika Kusini. Ukweli ni kuwa walikuwa wamepanga kukutana....

View Article


KATIBA PENDEKEZWA: Chadema chashtuka......Kuwasilisha malalamiko Nec uhalali...

Baada ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kudai kunasa waraka wa mkakati wa serikali wa kutumia Sh. bilioni 2.5  kuendesha propaganda kwenye vyombo vya habari ili kushawishi wananchi kupigia kura...

View Article


Baba, mama na mtoto Wauawa Kwa Kukatwa Mapanga......Kisa urithi wa mali

Watu watatu wa familia moja wamefariki dunia baada ya kukatwa mapanga, huku mmoja wao akitenganishwa kichwa na kiwiliwili kwa madai ya ugomvi wa urithi wa mali. Kamanda wa Polisi Mkoa Kagera, Henry...

View Article

Mwalimu aliyefaulisha wanafunzi WOTE Ahamishwa

Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Machala, Christopher Rutuku, aliyewahi kufaulisha wanafunzi wote, anadaiwa kuhamishwa shuleni hapo baada ya kutuhumiwa kuruhusu...

View Article

Wema Sepetu na Penny wamaliza tofauti zao, wakumbatiana na kupiga picha pamoja

Hatimaye mpenzi wa sasa (Wema) na mpenzi wa zamani (Penny) wa msanii wa Bongo fleva Naseeb Abdul a.k.a Diamond Platnumz wamemaliza tofauti zao zilizotokana na ‘penzi’ la hit maker huyo wa ‘Number 1’....

View Article


Mwanamke Amkata Mkono Mumewe Kisa Kikiwa ni Wivu Wa Mapenzi

Polisi mkoani Tanga inamshikilia Gladness Daniel (18) mkazi wa Kijiji cha Kwekivu kata ya Kibirashi wilayani Kilindi mkoani Tanga kwa tuhuma za kumkata mkono mume wake kwa kile kinachodaiwa kuwa ni...

View Article

Je, unasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume?? Unataka kuimarisha mishipa...

Neema  Herbalist  & Nutritional  Foods  Clinic  ni  wauzaji wa dawa  mbalimbali  za  asili. Tunapenda  kuwatangazia  wateja  wetu  kuwa  tunayo  dawa nzuri  ya  asili  inatibu na  kuponyesha...

View Article

Zitto Kabwe Ajibu Mashambulizi Dhidi Yake

Nashambuliwa, tunashambuliwa! PAC tunasema “Hatutetereki” Zikiwa zimebaki siku chache kabla ya Kamati ninayoongoza ya PAC kuwasilisha Bungeni Taarifa Maalumu kuhusu ukaguzi maalumu wa akaunti ya...

View Article


Rais Kikwete afanyiwa upasuaji wa tezi dume Marekani, hali yake inaendelea vyema

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete alfajiri ya jana, Jumamosi, Novemba 8, 2014, alifanyiwa upasuaji wa tezi dume (prostrate) katika Hospitali ya Johns Hopkins...

View Article


Nafurahishwa na viongozi wenye maamuzi - Lowassa

Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa amesema anafurahishwa na watu wenye maono na wanaopenda kuchukua maamuzi kuliko wale wenye kaliba ya kutaka kuweka rekodi pekee.   Mh. Lowassa amesema hayo jana...

View Article

Utata wa uraia wa Miss Tanzania mpya, Lilian Kamazima

Baada ya taji la Miss Tanzania kuvishwa kwa mshindi wa pili, utata mwingine umeibuka baada ya mrithi huyo, Lilian Kamazima kudaiwa kuwa si raia.    Jana kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kulikuwa...

View Article

Ziara ya Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM Mh. Jerry Silaa- Malampaka

Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM na Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa aikwahutubia wananchi wa Kata ya Malampaka wakati wa ziara yake Mkoani Simiyu jana. Wananchi wa kata ya Malampaka wakimsikiliza...

View Article

TAMKO La Ikulu: Tumefedheheshwa Jaji Warioba kushambuliwa

Serikali inapitia upya ulinzi wa viongozi wastaafu ili kuepuka fedheha iliyotokana na vurugu alizofanyiwa Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba hivi karibuni.    Mpango huo umeelezwa na Katibu Mkuu...

View Article


Je, Una Mwili Mwembamba au Umedhoofika kutokana na Maradhi?.....Bofya hapa...

Je  una  mwili  mwembamba  na  unataka  kuongeza  na  kunenepesha  mwili  wako ? Umedhoofika  kutokana  na  maradhi  mbalimbali  na  unataka  kurejesha  afya  yako  na  mwili  wako ? Unataka...

View Article

Freeman Mbowe Amkaanga Samwel Sitta jimboni kwake

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amefanya mkutano mkubwa Urambo Mashariki na kumshutumu Mbunge wa jimbo hilo, Samuel Sitta kwa kuchakachua maoni ya wananchi katika mchakato wa Katiba Mpya....

View Article


Walimu Wawili Wakamatwa Wakituhumiwa KUVUJISHA Mtihani wa kidato cha nne

Walimu wawili wa Shule ya Sekondari ya Embarway wanashikiliwa na polisi wilayani Ngorongoro wakituhumiwa kufanya mtihani wa kidato cha nne ofisini.   Licha ya walimu hao kukamatwa pia waliokuwa...

View Article

Taarifa MPYA kuhusiana na hali ya kiafya ya Rais Kikwete baada ya kufanyiwa...

HALI ya Rais Jakaya Kikwete ambaye mwishoni mwa wiki alifanyiwa operesheni ya tezi dume, inaendelea kuimarika na ameanza kufanya mazoezi ya kutembea.   Kwa mujibu wa Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,...

View Article


Kampuni ya simu yamwaga ajira 2,000......Maombi ya kazi Yanaanza kupokelewa...

KAMPUNI ya simu ya Viettel ya Vietnam inayokua kwa kasi duniani ambayo sasa inahamishia nguvu zake katika soko la Tanzania, imetangaza ajira kwa wasomi wa Tanzania zaidi ya 2,000.   Viettel ambayo...

View Article

Keissy awavuruga tena Wabunge wa Zanzibar.....Vurugu zaibuka, Naibu Spika...

Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai, jana alifanikiwa kudhibiti kuchafuka hali ya hewa bungeni baada ya wabunge kutoka Zanzibar kutaka kumpiga  Mbunge wa Nkasi Kaskazini (CCM), Ally Keissy, (pichani)...

View Article

Wanachuo watelekezwa, wazirai kwa njaa....Mmiliki wake Atumia Jina la Sumaye...

Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Dk Norman Sigalla WANAFUNZI 46 wa chuo kipya cha kilimo na mifugo cha Nice Dream kilichopo Mtaa wa Mapelele, Kata ya Ilemi jijini Mbeya wamejikuta wakiwa katika wakati mgumu,...

View Article
Browsing all 45270 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>