Walimu wawili wa Shule ya Sekondari ya Embarway wanashikiliwa na
polisi wilayani Ngorongoro wakituhumiwa kufanya mtihani wa kidato cha
nne ofisini.
Licha ya walimu hao kukamatwa pia waliokuwa wasimamizi wa ndani wa mitihani kwenye shule hiyo, wameondolewa kutokana na uzembe.
Kaimu
ofisa elimu wa Wilaya ya Ngorongoro, Chacha Megewa alidai walimu hao,
Jakob Jadie na Reginald
↧