Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amefanya mkutano mkubwa
Urambo Mashariki na kumshutumu Mbunge wa jimbo hilo, Samuel Sitta kwa
kuchakachua maoni ya wananchi katika mchakato wa Katiba Mpya.
Katika mkutano huo ulifanyika katika Uwanja wa
Extended mjini Urambo takriban mita 100 kutoka nyumbani kwa Sitta
aliyeongoza Bunge la Katiba, Mbowe alisema historia ya nchi hii
itamhukumu
↧