Baada ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kudai kunasa waraka wa mkakati wa serikali wa kutumia Sh. bilioni 2.5 kuendesha propaganda kwenye vyombo vya habari ili kushawishi wananchi kupigia kura ya ndiyo Katiba inayopendekezwa, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeshtuka na kusema kinatarajia kuwasilisha malalamiko Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ili kupata uhalali wa suala
↧
KATIBA PENDEKEZWA: Chadema chashtuka......Kuwasilisha malalamiko Nec uhalali bil 2.5/- za propaganda
↧