Watu watatu wa familia moja wamefariki dunia baada ya kukatwa mapanga, huku mmoja wao akitenganishwa kichwa na kiwiliwili kwa madai ya ugomvi wa urithi wa mali.
Kamanda wa Polisi Mkoa Kagera, Henry Mwaibambe, alisema waliokufa papo hapo ni baba wa familia, Sadick Khamis (84), aliyekatwa kichwa na kutenganishwa na kiwiliwili pamoja na mkewe Zamda Sadick (44).
Mwingine ni mtoto wa
↧