Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Machala, Christopher Rutuku, aliyewahi kufaulisha wanafunzi wote, anadaiwa kuhamishwa shuleni hapo baada ya kutuhumiwa kuruhusu waandishi wa habari kupiga picha shule iliyojengwa kwa udongo na makuti huku ikiwa taabani.
Akizungumza na mwandishi wa habari hizi, Rutuku alisema alipewa barua ya uhamisho bila kulipwa posho
↧