Hatimaye mpenzi wa sasa (Wema) na mpenzi wa zamani (Penny) wa msanii
wa Bongo fleva Naseeb Abdul a.k.a Diamond Platnumz wamemaliza tofauti
zao zilizotokana na ‘penzi’ la hit maker huyo wa ‘Number 1’.
Muigizaji wa Bongo Movie Wema Sepetu na mtangazaji wa E-FM Penny
Mungilwa a.k.a VJ Penny walikutana usiku wa jana kwenye birthday dinner
ya rafiki yao aitwaye Junaithar ambaye ndiye
↧