Polisi mkoani Tanga inamshikilia Gladness Daniel (18) mkazi wa
Kijiji cha Kwekivu kata ya Kibirashi wilayani Kilindi mkoani Tanga kwa
tuhuma za kumkata mkono mume wake kwa kile kinachodaiwa kuwa ni wivu wa
kimapenzi.
Akizungumza katika kikao cha hali ya uhalifu
mkoani Tanga kilichowashirikisha maofisa usalama barabarani jana,
Kamanda wa Polisi mkoani Tanga, Fraisser Kashai, alisema
↧