Baada ya taji la Miss Tanzania kuvishwa kwa mshindi wa pili,
utata mwingine umeibuka baada ya mrithi huyo, Lilian Kamazima kudaiwa
kuwa si raia.
Jana kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii
kulikuwa na taarifa zinazodai kuwa Lilian siyo raia wa Tanzania na
kwamba anatokea Rwanda.
Akizungumzia tuhuma hizo, Mkurugenzi wa Lino
International Agency ambao ndiyo waandaaji wa mashindano
↧