Waziri
Mkuu wa zamani Edward Lowassa amesema anafurahishwa na watu wenye maono
na wanaopenda kuchukua maamuzi kuliko wale wenye kaliba ya kutaka
kuweka rekodi pekee.
Mh. Lowassa amesema hayo jana jijini Dar es Salaam wakati wa hafla ya
uzinduzi wa Helkopta ambayo ni mali ya Kanisa la Ufufuo na Uzima lililo
chini ya Askofu Josephat GWAJIMA ambayo mbali ya shughuli za kikanisa,
↧