Mjumbe
wa Kamati kuu ya CCM na Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa
aikwahutubia wananchi wa Kata ya Malampaka wakati wa ziara yake Mkoani
Simiyu jana.
Wananchi wa kata ya Malampaka wakimsikiliza kwa makini hotuba iliyokuwa ikilitolewa na Mh. Jerry Silaa.
Akiendelea kuhubia.
Mh. Jerry Silaa akisalimiana na wananchi wa Kata ya Malampaka.
Mh. Jerry Silaa akizungumza na wazee wa Kata
↧