Serikali inapitia upya ulinzi wa viongozi wastaafu ili kuepuka
fedheha iliyotokana na vurugu alizofanyiwa Waziri Mkuu mstaafu, Jaji
Joseph Warioba hivi karibuni.
Mpango huo umeelezwa na Katibu Mkuu Kiongozi,
Balozi Ombeni Sefue mwishoni mwa wiki, akisema Serikali imekerwa na
kufedheheshwa kutokana na tukio hilo lililotokea wakati wa mdahalo wa
Katiba Inayopendekezwa katika Hoteli
↧