Madereva wa Kampuni ya Mwananchi Wakamatwa na Mirungi
Polisi mkoani Iringa wanawashikilia watu watatu wakiwamo madereva wawili wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) kwa tuhuma za kusafirisha dawa za kulevya aina ya mirungi. Kamanda wa...
View ArticleMahakama yachomwa Moto,nyaraka zote zateketea
Mahakama ya Mwanzo ya Riagoro wilayani Rorya mkoani Mara, imeteketezwa kwa moto na watu wasiojulikana huku nyaraka muhimu zilizokuwamo ndani yake zikiteketea zote. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa...
View ArticleMalalamiko ya wizi wa vifaa vya magari bandarini, Serikali imetoa tamko.
Imekuwa kawaida watu wengi kulalamikia vitendo vya wizi wa vifaa mbalimbali katika magari eneo la bandari ya Dar es Salaam hali iliyopelekea Serikali kutoa tamko rasmi juu ya mkakati unaoandaliwa ili...
View ArticlePolisi yawatawanya wafuasi wa Mbowe kwa Mabomu
Wafuasi wa (Chadema) wilayani Mpanda jana jioni walilazimika kutafuta vichochoro vya kukimbilia baada ya polisi kusambaratisha kwa mabomu ya machozi, maandamano ya kumsindikiza Mwenyekiti wa chama...
View ArticleMtoto Aliyefaulu Darasa la saba Nusura Atolewe Kafara
Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro limemtia mbaroni mganga mmoja wa jadi anayedaiwa kuteka watoto kwa njia za kishirikina kwa ajili ya kutolewa kafara. Mbali na mganga huyo, pia wamemtia mbaroni...
View ArticleKinana na Dr. Slaa kesho watashiriki katika Mjadala wa Rais wa Tanzania...
Makatibu wakuu wa CCM, Abulrahman Kinana na Dk Willibrod Slaa wa Chadema kesho watashiriki katika mjadala wa rais wa Tanzania anayetakiwa kupitia Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015. Mjadala huo...
View ArticleChid Benz Atinga Tena Mahakamani......Kesi Yake Yaahirishwa hadi Disemba 1
Rapper Rashid Abdallah Makwiro aka Chid Benz ambaye yupo nje kwa dhamana kufuatia kukamatwa na dawa za kulevya uwanja wa ndege Dar es salaam leo Nov 11 2014 alikwenda tena kwenye Mahakama ya hakimu...
View ArticleTCRA Yawataka Wamiliki wa Blogs Kuzitumia Vizuri Wakati wa Uchaguzi
Wamiliki wa Blogs nchini wametakiwa kuzitumia vyema blog zao katika kuripoti habari na matukio mbalimbali wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa, wabunge na urais. Hayo yamesemwa na Mkurugezi Mkuu...
View ArticleMenina: Sijatoa Mimba ya Diamond
Mwanamuziki Hot Sexy hapa Bongo, Meninah Atick ameifungukia ishu ya kuchoropoa mimba ya msanii Nasibu Abdul ‘Diamond’ na kusema hajawahi kubeba mimba ya staa huyo na wala katika maisha yake hajawahi...
View ArticleMahututi aliyekimbiwa na Mwanamke GUEST HOUSE Afariki
Mtu mmoja amefariki dunia katika hospitali ya rufaa ya Mbeya baada ya kukutwa hali mahututi katika nyumba ya kufikia wageni. Mtu huyo aliyetambuliwa kwa jina la Kassim Rashid (55) mkazi wa Ghana,...
View ArticleSitti Mtemvu: Siwezi kuwazuia watu kuongea, Ridhiwani amtia moyo
Aliyekuwa Miss Tanzania 2014 hadi Jumamosi iliyopita, Sitti Mtemvu ametoa kauli yake mpya ikiwa ni siku chache baada ya kutangaza kujivua taji hilo. Sitti ambaye taji la alilovua amepewa Lilian...
View ArticleBaada ya Wema na Penny kumaliza tofauti zao sasa waanza kushirikiana kwenye kazi
Baada ya staa wa filamu Wema Sepetu na mtangazaji wa radio VJ Penny weekend iliyopita kumaliza tofauti zao zilizowatenganisha kwa muda mrefu, hatimaye sasa wameanza kuwa karibu. Kupatanishwa kwao...
View ArticleDj Tass wa Magic Fm apata shavu la kutumbuiza kwenye Big Brother Africa...
DJ Tass wa kituo cha radio cha Magic Fm pamoja na kipindi cha Wakilisha cha Maisha Magic-DSTV amepata shavu la kwenda kutumbuiza kwenye jumba la Big Brother Africa Hotshots Ijumaa hii. Tass amesema...
View Article"Panya road" Wafunga Mitaa Minne Dar es Salaam
Ilikuwa hekaheka iliyosababisha shughuli katika mitaa minne ya Tabata, Dar es Salaam kusimama kwa saa nne baada ya kundi la vijana wenye nondo, mawe na visu kushambulia watu, kupora na kuharibu mali...
View ArticleWaumini Wamfungia Ofisi Askofu Kiongozi wa Kanisa la Moravian Tanzania
Askofu Kiongozi wa Kanisa la Moravian Tanzania, Alinikisa Cheyo amezuiwa na waumini wa kanisa hilo kuingia katika ofisi yake iliyopo Jakaranda, Mbeya kwa saa 18. Cheyo, ambaye pia ni Askofu Mkuu wa...
View ArticleMabweni na Madarasa ya Shule ya Filbert Bayi iliyopo mjini Kibaha Yateketea...
Wanafunzi 70 wa Shule ya Msingi Filbert Bayi iliyopo mjini Kibaha, mkoani Pwani, wamenusurika kuteketea kwa moto baada ya mabweni mawili ya shule hiyo kushika moto na kuungua kabisa. Moto huo...
View ArticleSakata la Wizi wa Dola za Marekani Milioni 200 Katika akaunti ya Tegeta...
RIPOTI ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kuhusu kuchotwa kunakodaiwa isivyo halali kwa fedha katika Akaunti ya Escrow, sasa haitajadiliwa bungeni. Naibu Spika wa Bunge, Job...
View ArticleMaelfu Ya Wananchi Wamtakia Afya Njema Rais Kikwete.....Jana Aliondolewa...
HALI ya afya ya Rais Jakaya Kikwete imeendelea kuimarika kwa kasi na jana alizungumza kwa simu na uongozi wa juu wa Tanzania kwa mara ya kwanza tangu afanyiwe upasuaji wa tezi dume Jumamosi iliyopita....
View ArticleMtoto aliyepotea auawa kikatili, maiti yaokotwa ndani ya Pagala
Mtoto Nuru Mohamedi (7) ameuawa kikatili na kisha mwili wake kutelekezwa kwenye nyumba ambayo haijakamilika ujenzi iliyo Majohe Kichangani jijini Dar. Tukio hilo, ambalo limezua hofu na huzuni kwa...
View ArticleAJALI MBAYA: Watu Kadhaa Wapoteza Maisha leo Asubuhi baada ya basi kupinduka...
Watu kadhaa wamepoteza maisha huku wengine wakijeruhiwa asubuhi hii kwenye ajali ya basi la Wibonela lililokuwa likitoka Kahama kwenda Dar lililopinduka eneo la kona ya Phantom, Kahama. Chanzo cha...
View Article