DJ Tass wa kituo cha radio cha Magic Fm pamoja na kipindi cha
Wakilisha cha Maisha Magic-DSTV amepata shavu la kwenda kutumbuiza
kwenye jumba la Big Brother Africa Hotshots Ijumaa hii.
Tass amesema kuwa ataondoka Dar es salaam Ijumaa hii kuelekea Johannesburg, Afrika Kusini.
Kupitia Instagram pia ameshare taarifa hiyo kwa kuandika, “Official Dj for BBA Hotshots 2014 representing
↧