Ilikuwa hekaheka iliyosababisha shughuli katika mitaa minne ya
Tabata, Dar es Salaam kusimama kwa saa nne baada ya kundi la vijana
wenye nondo, mawe na visu kushambulia watu, kupora na kuharibu mali
kutokana na kile kilichodaiwa kuwa ni kulipiza kisasi.
Kundi hilo la vijana zaidi ya 30 ambalo mmoja wao
ameuawa linalofananishwa na lile la Panya Road ambalo hivi karibuni
lilisumbua
↧