Askofu Kiongozi wa Kanisa la Moravian Tanzania,
Alinikisa Cheyo amezuiwa na waumini wa kanisa hilo kuingia katika ofisi
yake iliyopo Jakaranda, Mbeya kwa saa 18.
Cheyo,
ambaye pia ni Askofu Mkuu wa Kanisa la Moravian Jimbo la Kusini
Magharibi, alifungiwa mlango na waumini wa kanisa hilo Usharika wa
Jakaranda kumzuia asiingie mpaka atakapoitisha mkutano na kumrudisha
Mchungaji
↧