Wanafunzi 70 wa Shule ya Msingi Filbert Bayi iliyopo mjini
Kibaha, mkoani Pwani, wamenusurika kuteketea kwa moto baada ya mabweni
mawili ya shule hiyo kushika moto na kuungua kabisa.
Moto
huo unaodhaniwa ulitokana na hitilafu ya umeme, ulizuka ghafla shuleni
hapo kuanzia katika bweni namba nne la wasichana, ambalo ni moja ya
mabweni ya wanafunzi hao kuanzia saa 8 za usiku wa kuamkia
↧