RIPOTI ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kuhusu kuchotwa kunakodaiwa isivyo halali kwa fedha katika Akaunti ya Escrow, sasa haitajadiliwa bungeni.
Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai aliyasema hayo bungeni mjini Dodoma jana alipokuwa akijibu Mwongozo wa wabunge kuhusu kujadiliwa kwa ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na Takukuru kuhusu sakata
↧