HALI ya afya ya Rais Jakaya Kikwete imeendelea kuimarika kwa kasi na jana alizungumza kwa simu na uongozi wa juu wa Tanzania kwa mara ya kwanza tangu afanyiwe upasuaji wa tezi dume Jumamosi iliyopita.
Alizungumza na Makamu wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal, Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohammed Shein na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, lakini pia alikuwa anawasiliana na mamia kwa mamia ya
↧