Mtoto Nuru Mohamedi (7) ameuawa kikatili na kisha mwili wake
kutelekezwa kwenye nyumba ambayo haijakamilika ujenzi iliyo Majohe
Kichangani jijini Dar.
Tukio hilo, ambalo limezua hofu
na huzuni kwa wakazi wa mtaa huo, lilibainika jana baada ya kupatikana
kwa maiti ya mtoto huyo ambaye kabla ya mauti kumkuta alikuwa amepotea
katika mazingira ya kutatanisha tangu Novemba 6.
↧