Mwanamuziki Hot Sexy hapa Bongo, Meninah
Atick ameifungukia ishu ya kuchoropoa mimba ya msanii Nasibu Abdul
‘Diamond’ na kusema hajawahi kubeba mimba ya staa huyo na wala katika
maisha yake hajawahi kufanya kitendo hicho.
“Jamani mimi ni mdogo, kwanza kwa nini watu
wanapenda kunibebesha vitu vikubwa, mimi sijawahi kubeba wala
kuchoropoa mimba katika maisha yangu,” alisema msichana
↧